RaisJakaya Mrisho Kikwete
akimkabidhi bendera nahodha wa timu ya Taifa ya ngumi za riadha
Selemani Kidunda pamoja na wachezaji wa michezo mingine inayoondoka
kesho
Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya
Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es
salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimkabidhi bendera nahodha wa timu ya Taifa ya ngumi za riadha Selemani Kidunda inayoondoka kesho
Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya
Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es
salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika
picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa ya riadha
inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye
Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiagana na wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa ya riadha
inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye
Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
Wakimsikiliza kwa makini Rais
Kikwete ni wachezajina viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka
kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya
ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es
salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akihutubia wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka
kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya
ya Madola kwenye hafla fupi ya kukabidhi bendera iliyofanyika uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
PICHA NA IKULU
0 Comments