Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakijaribu kufanya mazoezi
katika mashine zilizo ndani ya Gym ya mazoezi ya timu ya Azam Fc, wakati
walipotembelea Gym hiyo kujionea leo baada ya hafla ya uzinduzi wa
Msikiti wa ‘Masjidil Huda’, kwenye Uwanja wa Chamazi, jijini Dar es
Salaam, leo.
Mkurugenzi
wa Makampuni ya SSB, Said Mohamed, (wa pili kulia) akitoa maelezo kwa
viongozi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi,
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Mwenyekiti wa Makampuni ya
SSB, Said Salim Bakhresa, wakati walipokuwa wakitembelea kujionea Uwanja
wa Azam Complex, unaomilikiwa na timu ya Azam Fc, leo Chamazi.
Wakitembelea Uwanja wa Chamazi, kujionea maendeleo ya timu ya Azam Fc , leo.
Mkurugenzi
wa Makampuni ya SSB, Said Mohamed, (kulia) akitoa maelezo kwa viongozi,
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, wakati
walipokuwa wakitembelea kujionea Uwanja Gym ya mazoezi ya timu ya Azam
Fc iliyopo kwenye Uwanja wa Azam Complex, unaomilikiwa na timu ya hiyo,
leo Chamazi.
Mkurugenzi
wa Makampuni ya SSB, Said Mohamed, (wa pili kulia) akitoa maelezo kwa
viongozi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan
Mwinyi, wakati
walipokuwa wakitembelea kujionea Uwanja Gym ya mazoezi ya timu ya Azam
Fc iliyopo kwenye Uwanja wa Azam Complex, unaomilikiwa na timu ya hiyo,
leo Chamazi.
''2015
DKT SLAA ATANIKOMA'' Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akijaribu
kufanya zoezi katika moja ya mashine zilizo ndani ya Gym ya mazoezi ya
timu ya Aazam Fc, kwenye Uwanja wa Chamazi Complex, wakati
walipotembelea Gym hiyo leo.
0 Comments