Na Mwandishi Wetu
David Jastin |
KIKUNDI cha filamu nchini
kimezinduliwa kwa ajili ya kuendeleza na kuibua vipaji vipya katika
tasinia hiyo kundi hilo lililoweka makazi yake Mbezi beach jijini Dar es
salaam linaongozwa na David Jastin limepewa jina la dj films company
kampuni hiyo inayohusika na
utengenezaji wa filamu mbalimbali nchini linatarajia kutoa kazi yake
mpya hivi karibuni itakayokwenda kwa jina la Dunia aina siri itakayotoka
hivi karibuni
wakati wa uzinduzi wa kundi hilo
walimtambulisha rasmi meneja wa kundi anaejulikana kwa jina las Paul
Marandu ambaye atakuwa ana husika na kazi mbalimbali za kampuni hiyo
pamoja na kundi lake
Jastin aliongeza kwa kusema
wameanzisha kundi hilo kwa lengo moja tu kuja kuwainua vijana chipkizi
na kuendeleza wale wanaofanya vizuri zaidi
kundi hili limeshafanya kazi
mbalimbali ambazo zipo mtaani kwa sasa kama Opportunity Love,Binadamu
kigeugeu na nyingine nyingi zikiwashilikisha wasanii mbalimbali kama
WastaraJuma,Ndumbagwe Misajo,Chales Magari na wasanii mbalimbali wanaotamba katika anga ya sanaa kwa sasawasanii wa kundi la dj films company
0 Comments