Bondia JuliasKisarawe kushoto
akipambana na Patrick Nne wakati wa mchezo wao uliofanyika mwishoni mwa
wiki iliyopita Kisarawe alishinda kwa point Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Mwinyi Mzengela kushoto akimtupia konde la kushoto bondia
Georege Manywele wakati wa mpambano wao wa kumaliza ubishi uliofanyika
katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala mwishoni mwa wiki iliyopita
Mzengela alishinda kwa K,O ya raundi ya nne picha na
Bondia Josepher Mbowe akipambana na Mfaume Alkaida wakati wa mpambano wao mbowe alishinda katika raundi ya pili picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
0 Comments