Makamu
wa Rais wa China Li Yuanchao (kushoto) na Waziri Mkuu wa Tanzania Mh.
Mizengo Pinda (kulia) kwa pamoja wakizindua jiwe la msingi katika eneo
litakapojengwa jengo la Taasisi ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es
salaam.
Makamu
wa Rais wa China Li Yuanchao (katikati) na Waziri Mkuu wa Tanzania Mh.
Mizengo Pinda (wa pili kulia) kwa pamoja wakizindua wakimwaga mchanga
kuashiria kuanza kwa ujenzi jengo la Taasisi ya Mwalimu Nyerere jijini
Dar es salaam.Kulia ni Balozi wa China nchini Tanzania Lu Youqing.
Waziri
Mkuu mstaafu Frederick Sumaye akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya
tatu, Benjamini Mkapa (kushoto) na Waziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya
(kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa jengo la Taasisi ya
Mwalimu Nyerere (MNF).
Makamu
wa Rais wa China Li Yuanchao (wa pili kushoto) akisalimiana na Mama
Maria Nyerere mara baada ya hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa jengo la Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) jijini Dar es salaam wakishuhudiwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Makamu
wa Rais wa China Li Yuanchao ( kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda, Mama Maria Nyerere, Rais
Mstaafu wa awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi na Rais mstaafu wa awamu ya
tatu Benjamini Mkapa.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akisalimiana na Rais
mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (Kulia) na Mama Maria Nyerere
wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la Taasisi ya Mwalimu Nyerere.
Viongozi
mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa jengo la Taasisi ya Mwalimu
Nyerere jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Mama Maria Nyerere, Rais
Mstaafu wa Wawamu ya tatu, Benjamini Mkapa,Waziri Mkuu mstaafu Cleopa
Msuya na Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba. Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.
0 Comments