Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wazee baada ya ibada ya Krismasi
iliyofanyika kijijini kwake, Kibaoni wilayani Mlele, Katavi, Desemba
25, 2013.
Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na watoto baada ya ibada
ya Krismasi iliyofanyika kijijini kwa Waziri Mkuu, Kibaoni wilayani
Mlele, Katavi Desemba 25,2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 Comments