Anaitwa Remmy
williams mtanzania anayefanya mziki nchini Italy amefanya nyimbo
akiwashirikisha wasanii wa hapa King Ruston, Moses Thomas& Mirror Rhymes.
nyimbo inaitwa AFRICA, imefanyioka katika studio za Overclassic, video
imefanywa na campuni ya Emedia chini
mwongozaji Nick Dizo na Sama katika viunga vya Mwanza
Remmy Williams katika pozi.
0 Comments