CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO CHATIMIZA MIAKA MIWILI


 
 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Prof.Costa Mahalu. 
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Prof. Mahalu akizungumza na Mhadhiri wa Chuo hicho, Dk. Natujwa Mvungi (wa tatu kulia) pamoja na mwanafunzi wa chuo hicho Hapiness Katabazi (kulia) na wa pili kulia ni Mhadhiri wa Sheria chuoni hapo, Hawa Juma.
 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UB), Prof. Costa Mahalu (katikati), akiwaongoza wahadhiri na watumishi wa chuo hicho kukata keki wakati wa hafla fupi ya kutimiza miaka miwili tangu kuanzishwa kwake, iliyofanyika katika Makao Makuu ya chuo hicho yaliyopo Mikocheni kwa Warioba jijini Dar es Salaam jana.  Wa pili kulia ni Mkuu wa Kitivo cha Sheria cha Chuo hicho, Dk. Natujwa Mvungi.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Prof. Costa Mahalu akilishwa keki na Mkuu wa Kitivi cha sheria cha chuo hicho, DK.Natujwa Mvungi na kushoto ni Mhadhiri wa Sheria, Hawa Juma.
Mkuu wa Kitivo cha Sayansi UB, Rose Funja akimlisha keki Mhadhiri Mwandamizi wa UB, Dk. Mtaro.
Naibu Makamu Mkuu wa UB, Dk.William Kudoja akilishwa keki na Mkuu wa Kitivo cha Sheria Dk. Natujwa Mvungi.
DK.Natujwa akimilisha keki Mwanafunzi wake wa Sheria, Happiness Katabazi.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha bagamoyo, Prof. Costa Mahalu (kulia) akiwa na baadhi ya waadhiri wa chuo hicho pamoja na mwanafunzi anayesoma katika chuo hicho, Happiness Katabazi (kushoto) waliokaa.

Post a Comment

0 Comments