baada ya kufanyika uzinduzi |
Picha ya pamoja ya viongozi wa selekari pamoja na maofisa mbalimbali |
Kaimu Mkurugenzi wa Shule za Msingi Bi,Sara Mraki akitoa neno la shukrani pamoja na kuwasisitiza walimu waliokabiziwa madawati wayatunze |
Mkurugenzi mtendaji wa Total Bw. Stephane Gay akipeana mkono na Ofisa kutoka Wizara ya Nishati na Madini Bw.Fadhili Kileo baada ya kukabizi madawati |
Baazi ya walimu na wafanyakazi wa seloekarini wakiwa kwenye madawati baada ya kukabiziwa |
0 Comments