Mtangazaji
wa televisheni ya Chanel 5 EATV Joyce Kiria akiwa amewashikilia watoto
wake Lingatone Kileo kulia na Lincorn wakati alipozungumza na waandishi
wa habari katika mtaa wa Samora na kupaza sauti kuomba msaada kwa Rais
Jakaya Kikwete na watanzania kwa ujumla ili kusaidiwa na kujua aliko
mume wake Henry Kileo ambaye inadaiwa amepelekwa Igunga akituhumiwa na
kesi huko Joyce Kiria amesema mpaka sasa hajaambiwa kama mume wake yuko
wapi hivyo hata kama ana makosa anaomba afahamishwe kwani hajui
kinachoendelea mpaka sasa Joyce
Kiria akifafanua mambo mbalimbali mbele ya waandishi wa habari leo
jijini Dar es salaam huku akiwa amewabeba watoto wake na ndugu zake
wengine wakiwa na mambongo yenye ujumbe mbalimbali Joyce
Kiria akendelea kujibu maswali kadhaa ya wanahabari wakati akizungumza
nao jijini Dar es salaam.Habari Kwa Hisani ya Full Shangwe Blog
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI UAPISHO WA RAIS WA GHANA MHE. JOHN MAHAMA
-
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
,leo tarehe 07 Januari 2025 amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzan...
12 minutes ago
0 Comments