Bondia Japhet Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Rasco Simwanza wa Malawi wakati wa mpambano wao wa Ubingwa wa Kimataifa wa PST mpambano uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda kwa TKO ya raundi ya tano Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana kazi na
|
Bondia Juma Fundi akioneshana umwamba na Moro Best wakati wa mpambano huo |
|
Bondia Japhet Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Rasco Simwanza wa Malawi wakati wa mpambano wao wa Ubingwa wa Kimataifa wa PST mpambano uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda kwa TKO ya raundi ya tano Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Japhet Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Rasco Simwanza wa Malawi wakati wa mpambano wao wa Ubingwa wa Kimataifa wa PST mpambano uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda kwa TKO ya raundi ya tano Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Rasco Simwanza kutoka Malawi kushoto akipambana na Japhet Kaseba wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Kimataifa wa PST kaseba alishinda raundi ya tano |
Bondia Japhet Kaseba akiwa amevishwa mkanda wake wa kimataifa wa PST |
Bondia Kaseba akishangilia ushindi zaidi tembelea www.superdboxingcoach.blogspot.com |
0 Comments