Mshindi
wa Redd’s Miss Kigamboni 2013 Magdalena Olotu (katikati) akila pozi
katika picha ya ukumbusho na mshindi wa pili Latifa Mohamed( wa pili
kushoto) na Mshindi wa tatu Irene Rajab ( wa pili kulia) pamoja na
mshindi wa nne na wa tano.
Mgeni
rasmi katika shindano la Redd’s Miss Kigamboni 2013 Mbunge wa jimbo la
Kigamboni Mh. Dr. Faustine Ndugulile (CCM) akitoa nasaha zake kwa
mshindi wa taji la Redd’s Miss Kigamboni 2013 Magdalena Olotu mara baada
ya kuibuka kidedea wa taji hilo ambapo amemtakia Baraka zote
kuiwakilisha vyema Kigamboni.
Mgeni
rasmi katika shindano la Redd’s Miss Kigamboni 2013 Mbunge wa jimbo la
Kigamboni Mh. Dr. Faustine Ndugulile (CCM) akimkabidhi zawadi ya fedha
taslimu shilingi 500,000/mshindi wa taji la Redd’s Miss Kigamboni 2013
Magdalena Olotu iliyotoka mfukoni kwa Mbunge huyo.
Meneja
Masoko Taifa wa shirika la ndege la Precision Air Bw. Ibrahim Bukenya
akikabidhi zawadi ya fedha taslimu shilingi 250,000/ kwa mshindi wa tatu
wa Redd’s Miss Kigamboni 2013 Irene Rajab.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Miss Tanzania, Bw. Prashant Patel katika pozi na mshindi
wa pili wa shindano la Redd’s Miss Kigamboni 2013 Latifa Mohamed mara
baada ya kumkabidhi zawadi ya fedha taslim shilingi 300,000/.
Redd’s
Miss Kigamboni 2013 Magdalena Olotu katika pozi na kitita chake cha
fedha taslim shilingi 500,000/ zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la
Kigamboni Mh. Dr. Faustine Ndugulile( na FullshangweBlogu)
0 Comments