Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akifunga semina kwa mawaziri na makatibu wakuu walioketi na kupanga
mikakati ya utekelezaji wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji,
ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo katika ukumbi wa St
Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa kwa kutumia uzoefu
wa Performance Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya Malaysia. Mfumo
huu utajumuisha uanzishwaji wa taasisi ya President’s Delivery Bureau
(PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango.
Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs) utafanyika ili
kuandaa programu za utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Awamu ya kwanza
ya labs ilizinduliwa rasmi na Rais Kikwete tarehe 22 Februari, 2013 na
kukamilika Aprili, 2013. Maeneo ya awamu ya kwanza ya labs yanahusisha
elimu, kilimo, nishati, mapato, maji na miundombinu ya uchukuzi.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na
Katibu Mkuu Kiongozi Mhe Ombeni Sefue wakiwa na mawaziri na makatibu
wakuu wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Performance Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya Malaysia Dkt Idris Jala wakti wa kuujadili mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo uliokabidhiwa kwa wizara hizo sita katika semina elekezi kwa mawaziri na makatibu wakuu iliyofanyika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa kwa
kutumia uzoefu wa PEMANDU, ambapo utajumuisha uanzishwaji wa taasisi ya
President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na
Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa
kimaabara (labs) utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa
miradi ya maendeleo.
Mawaziri wa Fedha, Kilimo, Uchukuzi,
Maji, Nidhati na Madini na Elimu wakiweka saini waraka wa kujifunga
katika utekelezaji wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji
na tathmini ya miradi ya maendeleo uliokabidhiwa kwa wizara sita hizo
sita baada ya semina elekezi kwa mawaziri na makatibu wakuu
iliyofanyika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza
kutekelezwa kwa kutumia uzoefu wa Performance Management and Delivery
Unit (PEMANDU) ya Malaysia. Mfumo huu utajumuisha uanzishwaji wa taasisi
ya President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na
Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa
kimaabara (labs) utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa
miradi ya maendeleo. Awamu ya kwanza ya labs ilizinduliwa rasmi na Rais
Kikwete tarehe 22 Februari, 2013 na kumalizika mwezi huu wa Aprili,
2013. Maeneo ya awamu ya kwanza ya labs yanahusisha elimu, kilimo,
nishati, mapato, maji na miundombinu ya uchukuzi.
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa benki ya NBC Bw. Lawrence Mafuru akitoa majumuisho ya uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs) wa
mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi
ya maendeleo katika semina elekezi kwa mawaziri na makatibu wakuu
iliyofanyika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.
Rais Dkt Jakaya
Mrisho Kikwete akiongea wakati wa semina kwa mawaziri na makatibu wakuu
kujadili mikakati ya utekelezaji wa mfumo mpya wa kusimamia
utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo
katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza
kutekelezwa kwa kutumia uzoefu wa Performance Management and Delivery
Unit (PEMANDU) ya Malaysia. Mfumo huu utajumuisha uanzishwaji wa taasisi
ya President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na
Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa
kimaabara (labs) utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa
miradi ya maendeleo. Awamu ya kwanza ya labs ilizinduliwa rasmi na Rais
Kikwete tarehe 22 Februari, 2013 na kukamilika Aprili, 2013. Maeneo ya
awamu ya kwanza ya labs yanahusisha elimu, kilimo, nishati, mapato, maji
na miundombinu ya uchukuzi.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na
Katibu Mkuu Kiongozi Mhe Ombeni Sefue wakiweka saini kama wadhamini wa
waraka wa kujifunga
katika utekelezaji wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji
na tathmini ya miradi ya maendeleo uliokabidhiwa kwa wizara hizo sita
katika semina elekezi kwa mawaziri na makatibu wakuu iliyofanyika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa kwa
kutumia uzoefu wa Performance Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya
Malaysia. Mfumo huu utajumuisha uanzishwaji wa taasisi ya President’s
Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na Ofisi ya Rais,
Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs)
utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
0 Comments