Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kulia akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Ally Masaga wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam Class anajiandaa na mpambano wake wa mei mosi dhidi ya Amos Mwamakula utakaopigwa katika ukumbi wa PTA Saba saba Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
UTATUZI MIGOGORO KWA NJIA MBADALA WA MAHAKAMA UNAWEZEKANA- NCC
-
Na Mwandishi Wetu
BARAZA la Taifa la Ujenzi (NCC) limesema uwezekano wa migogoro ya
kibiashara, madai ya kimkataba na mingine iliyopo na inayojitokeza kwe...
1 hour ago
0 Comments