Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha
Rais Mwai Kibaki wa Kenya muda mfupi baaada ya kuwasili katika uwanja wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kiserikali (State
Visit) ya siku mbili. Ambapo anatarajiwa kuwaaga Watanzania leo baada ya
kuwa Rais wa Kenya kwa miaka minane kupitia wazee wa Mkoa wa Dar es
Salaam na Serikali ya Tanzania imempa heshima kwa kubadilisha jina la
Barabara ya Old Bagamoyo na kuitwa Mwaikibaki kuanzia jana.
Rais
Mwai kibaki wa Kenya akikaribishwa kwa maua na Mwanafunzi Tazmina
Rasul(6) muda mfupi baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kiserikali
(State Visit) ya siku mbili huku mwenyeji wake Rais Dkt.Jakaya Kikwete
akiangalia. (Picha na Freddy Maro).
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments