Kikundi cha Burudani cha ngoma za asili kikitumbuiza wakati wa uzinduzi kiwanda kipya cha Bia ya Asili cha NZAGAMBA kilichopo mkoani Mwanza kikitoa burudani ya kipekeekwenyeuzinduziwa kiwanda kipya cha kutengeneza Bia ya Asli ambapo uzinduzi huo ulifanywa na mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo.
Meneja masoko wa kampuni ya Bia nchini TBL Fimbo Butallah akishiriki
kushika nyoka kwenye burudani ya uzinduzi wa kiwanda kipya cha bia ya
Asili cha NZAGAMBA kilichopo mkoani Mwanza ambapo uzinduzi huo ulifanywa
na mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments