Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo zaidi kuhusu aina ya mbegu ya
mahindi iliyotumika kutoka kwa Bi. Grace Hokororo ambaye ni Bibishamba
wa kata ya Itenka wakati alipokuwa akikagua shamba darasa analolisimamia
kwenye kijiji cha Itenka wilayani Mlele, Katavi, Januari 6, 2013.
Alifurahia kazi yake na kuahidi kumpatia pikipiki imsaidie kutembelea
vijijiji vingine vinne anavyovisimamia. PICHA ZOTE/OFISI YA WAZIRI MKUU
Bibishamba
wa kata ya Itenka, Bi. Grace Hokororo akimshukuru Waziri Mkuu Mizengo
kwa kufanya ukaguzi kwenye shamba darasa analolisimamia analolisimamia
katika kijiji cha Itenka wilayani Mlele, Katavi. Aliahidiwa kupatiwa
pikipiki ili imsaidie kutembelea vijijiji vingine vinne anavyovisimamia.
Bibishamba
wa kata ya Itenka, Bi. Grace Hokororo akipokea zawadi ya sh. 305,000/-
kutoka kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda ambazo zilichangwa papo hapo na
watu alioandamana nao ili kumpongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye
shamba darasa. Wa pili kulia ni Bw. Joseph Laurent anayesimamiwa na
bibishamba huyo ambaye shamba lake lilikaguliwa na Waziri Mkuu katika
kijiji cha Itenka wilayani Mlele, Katavi. Pia aliahidiwa kupatiwa
pikipiki ili imsaidie kutembelea vijijiji vingine vinne anavyovisimamia.
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments