www.superdboxingcoach.blogspot.com
BONDIA Floyd Mayweather Jr anatarajia kupanda jukwaani katika
ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas, Nevada, USA kuwania taji la WBC
welterweight title May 4 ,2013 kuzipiga na Robert Guerrero bondia
huyo ambaye ajawai kupigwa tangia angie katika uwanja wa masumbwi ya
kulipwa tarehe 11-10-1996 bondia huyo alichezo mpambano wake wa mwisho
May 5 mwaka jana na kutumikia kifungo cha Miezi mitatu kwa kosa la
kumshambulia aliyekuwa mpenzi wake mama watoto wake kwa sasa yupo katika
maandalizi ya mpambano huo wa tarehe hiyo katika mchezo wake wa mwisho
aliocheza na Miguel Cotto alipata ushindi mwembamba kwa kuibuka
kumtwanga kwa point
Tarangire in a Heartbeat!
-
Big thanks to *Divine Eneja and Milou* for choosing Mobila Safaris for
their epic Tarangire day trip!
From the giant Baobabs to the massive ...
TANI 9 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA NCHINI TANZANIA
-
*TANI 9 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA NCHINI TANZANIA, BASI LA KING MASAI
LANASWA*
**Raia wa Kenya akamatwa akitumia biashara ya chai kuficha uuzaji wa d...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments