Tunapenda kutoa habari hizi kwa waTanzania wote na wapenda maendeleo, Siku ya Jumamosi Aug 25 kutakuwa na ufunguzi rasmi wa tawi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jijini Houston Texas nchini Marekani, Wageni rasmi wa ufunguzi wa tawi hilo ni Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Jodeph Mbilinyi (Mr. 2 ,Sugu) Sherehe za ufunguzi wa tawi hilo zitaanza muda wa saa 5:PM (Jioni)
WAZIRI MKUU: TUEPUKE MIGOGORO NA MIZOZO
-
-Asema kuna miradi inakwama utekelezaji sababu ya migawanyiko
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Mamlaka za Serikali
za Mitaa waepuke m...
7 hours ago

0 Comments