Mshindi
wa tuzo ya wimbo bora wa mwaka uitwao Hakunaga na tuzo ya wimbo bora wa Afro
Pop Sumalee amefiwa na Mama yake Mzazi jijini Dar es Salaam. Kwa
mujibu wa habari zilizofikia Kajunason Blog zimesema kuwa mama yake Sulamee
alikuwa amemsindikiza mdogo wake kuja kupata matibabu jijini Dar es Salaam
kutoka Tanga ila alipofika alidodoka ghafra na kufariki. Mungu Amlaze mahali
pema peponi
0 Comments