Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais wa Brazil
Mama Dilma Rousseff alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia
Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012 kuhudhuria mkutano wa
Open Government Partnership.
(PICHA ZOTE NA IKULU).
Ujumbe wa Tanzania
kwenye mkutano wa Open Government Partnership ukibadilishana mawazo kabla ya
ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre
jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012. kutoka kushoto ni Waziri katika ofisi
ya Rais (Utawala Bora) Mh Mathias Chikawe, Waziri wa kazi na Uwezeshaji Wanachi
Kiuchumi na Ushirika wa Zanzibar Mh Haroun Ali Suleiman, Naibu Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Mahadhi J. Maalim na Msahuri wa Rais
(Masuala ya Siasa) Dkt Laurian Ndumbaro.
Rais Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa meza kuu na mwenyeji wake Rais wa Brazil Mama Dilma Rousseff na
wajumbe wengine katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini
Brasilia, Brazil, April 17, 2012 wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Open
Government Partnership. Kulia ni Waziri wa mambo ya Nje wa Marekani Bi Hilary
Clinton.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012 katika mkutano wa Open Government Partnership
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu wa Georgie Mh
Nika Gilauri katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini
Brasilia, Brazil, April 17, 2012 baada ya kuhudhuria mkutano wa Open Government
Partnership .
0 Comments