Msanii nyota wa kike kulia Irene Uwoya nayeye hakubaki nyuma kuwa mmoja kati ya mashuhuda katika ndoa hiyo.
Bwana na bibi harusi wakinong'onezana jambo ni lipi hilo hiyo ni siri yao.Ben Kinyaiya Mayasa na wasanii wengine hawakuwa nyuma katika kutoa pongezi kwa maharusi.
Hapa Bibi harusi na bwanaharusi wakielekea sehemu maalumu ya kukaa mara baada ya kufunga ndoa yao.
Kila la kheir Skynner na Omar katika maisha yenu ya ndoa.Picha zote kwa hisani ya Mussa Mateja @www.mateja20.blogspot.com
1 Comments