Afisa Usalama wa Kampuni Bia Serengeti John Nyamwanga Mataria akiwa na Meneja wa Bia ya Tusker Ricta Mchaki , hapa akitoa maeleo mafupi kuhusu usalama wa kazi wawapo kazini.
Sehemu ya washindi wa Droo ya Tusker wakipata maelezo mafupi kabla ya kuanza Ziara leo mchana.
Assistant Brew Master Donan Ritte akitoa ameleo mafupi.
Maeleo yakiendeleea katika ziara hiyo.
WASHINDI wa shindano la Tusker Milioni 500 jana walijumuika pamoja katika hafla fupi ya kusherehekea ushindi wao ikiwa ni pamoja na kufanya ziara maalum katika Kiwanda Cha Bia Cha Serengeti Chang’ombe Dar es Salaam.Akaizungumza na waandishi wa habari leo mchana Meneja wa Bia ya Tusker Rita Mchaki alisema washindi hao pamoja na wafanya kazi wa SBL wana kila sababu ya kusherehekea ushindi huo .
Droo hiyo ya Tusker ambayo imefikia tamamati imepata washindi 500 ambao ndiyo waliotembelea kiwanda cha Bia ya Serengeti na kuwakilishwa na baadhi ya washindi.Mbali ya washindi waliopata kitita cha sh. Mili. 1 washindi wengine walipata sh. 100,000 , 50,000 , 10,000 na bia ya bure.Tusker ni bia inayozalishwa na Kiwanda cha SBL na EABL ambao pia ni wazalishaji wa vinywaji vingine ambavyo Serengeti Lager, Tusker Malt Lager, Uhuru, The Kick, Malta Guiness na Guiness.Pia ni wasambazaji wa vinywaji vikali kama Johnie Walker , Smirnoff, Baileys, Captain Morgan na Richort Brandy.
Dar Es Salaam, Tuesday August 2011:Tusker Million Dar es Salaam Winners celebrate the end of the Tusker promotion dubbed ‘Tusker 500 million winner’s’ with a brew visit the Dar es Salaaml plant in Chang’ombe organized by Serengeti Breweries Limited.
For many of the winners , this was an optmum opportunity to get know the beer that has not only changed their lives but has also changed the lives of hundreds of Tanzanians in last few months.
The company had set aside 500m/-to be won in promotion in which customers stood to win prizes amounting to a whooping 500m/-The promotion took the country by storm having winners celebrating throughout the country.
Speaking at the Brew Vist,Tursker Brand Manager Rita Machaki excitedly talked about how it was such a grand and rewarding day for her personally,as she got an opportunity to speak to some of the winners and go to hear their stories on how TUSKER has changed their lives
“It is so great that i got to see how my beer is made and share this day with my fellow winners”Tusker is an SBL brand ,SBL is subsidiary of East African Breweries Limited (ESBL)and also Diageo,one of the world’s leading drink business .The company ‘s other main brands include sengereti Lager,Tusker Malt Lager,Uhuru,The Kick,Malta Guinness and Guinness .It also distributes Diageo sprits brands like Johnnie Walker, Smiroff,Baileys,Captain Morgan and Richort Brand .
Hapa ni sehemu ambayo maji taka (Machafu) husafishwa kisha yanamwangwa katika mfereji maalum.
KOROSHO TANI 401,000 ZENYE THAMANI YA SHILINGI TRILION MOJA ZIMEZWA NA
KUNUNULIWA
-
Na Ahmad Mmow.
Wakati msimu wa ununuzi wa korosho kwa mwaka 2024/2025 ukikaribia
kumalizika. Mpaka sasa tani 401,000 za korosho zenye thamani ya shilingi ...
3 hours ago
0 Comments