WAHARIRI 100,WAFADHILIWA NA SERENGETI ARUSHA

Jaji Mark Bomani fungua Mkutano wa Jukwaa la Wanahabari na Wahariri waliofika Jijini Arusha kwa ajili ya mkutano wa siku mbili unaoendelea ambao pia umedhaminiwa na Kampuni ya Bia Serengeti (SBL). Baadhi ya Wahariri wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya SBL , Jaji Mark Bomani mara baada ya kuwasili katika mkutano uliofanyika kwenye hoteli ya Kibo.

Baadhi ya Wahariri 100 kutoka katika vyombo mbalimbali nchini Tanzania wakiwa safariki katika Mkutano wa siku mbili wa Jukwaa la Wahariri uliodhaminiwa na Kampuni ya Bia Serengeti.
Mhariri wa Habari gazeti la Mwanahalisi Jabir Idrissa aliyeipa Camera mgongo akishowlove na Wahariri wenzake.
Kutoka kushoto ni Mhariri wa Tanzania Daima Jumatano Martine Malera, Mhariri wa Habari Leo Jumapili Eric Anthony .

Mkurugenzi wa Mahusiano Teddy Mapunda akiwa na baadhi ya wahariri safarini.
Katibu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena akiwafanyia mzaha kidogo.



Baadhi ya Wahariri wanawake kutoka katika vyombo mbalimbali wakiwa katika picha ya Pamoja na Mkurugenzi wa Mahusiano Kampuni ya Bia ya Serengeti SBL, Teddy Mapunda na wakwanza kulia ni Blogger Khadija Kalili, hapa wakia safarini kwende Jijini Arusha ambako Mkutano huo wa Jukwaa la Wahariri wapatao 100 unaendelea kwenye hoteli ya Kibo.

Post a Comment

0 Comments