
Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi Ufunguzi wa Uwanja wa Gombani
-
Wilaya ya ChakeChake Pemba 13.01.2026.
Ujenzi na Ukarabati wa Viwanja mbalimbali vya Michezo ni miongoni mwa
juhudi zinazochukuliwa na Serikali katik...
10 hours ago
Copyright © 2015 - 2025 BongoWeekend All Right Reserved
Developed by Gadiola Emanuel
3 Comments
Mdau New York City,Usa.
huwafundisha watoto wetu mambo mabaya wanapokuwa,pia mambo mengine ni kumdhalilisha mwanamke,Tunakoelekea sasa ni mwanamke wa kitanzania kukosa thamani,Siku hizi kuna mitandao ambayo jambo lolote likifanyika ni dunia nzima inaona.Aibu iliyosababishwa na Bhoke Afrika ya kusini imekuwa gumzo dunia nzima,sasa tena watu wamebuni mashindano haya ya mwanamke mwenye umbo la kiafrika !! Jamani tuwe waangalifu tunadhalilika sana ndani na nje ya nchi,hasa mwanamke mtanzania kwa kujirahisisha ili kuganga njaa,sijui umoja wa wanawake unafanya kazi gani kwa kutojali mambo machafu ya aina hii yakiendelea kila kukicha?na hasa Tanzania ?Mwenyezi mungu tuepushe na mabalaa haya wanawake wa Tanzania.
Jamila Halfani.
London,Uk.