Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea Moa wa Ruvuma kwa ajili ya kuzindua rasmi sherehe za maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani. Picha na Muhidin Sufiani-OMR .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asli baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoani Ruvuma leo Juni 01, kwa ajili ya kuzindua sherehe za maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Majimaji, mjini Songea Mkoa wa Ruvuma. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
Ngoma ya asili .
Makamu akisalimiana na madiwani wa Manispaa ya Songea baada ya kuwasili.
Ngoma ya asili .
Makamu akisalimiana na madiwani wa Manispaa ya Songea baada ya kuwasili.
0 Comments