HAPPY BIRTHDAY BABU NJENJE NA BI SHAKILA WATIMIZA UMRI WA MIAKA 64 YA KUZALIWA LEO

Mabrouk almaarufu kwa jina la Babu Njenje leo katimiza miaka 64, sherehe ya kumpongeza inaendelea katika kituo cha redio cha Clouds FM kwa kupitia kipindi cha leo tena.
Bi Shakila Said ambaye na yeye leo ametimiza umri sawa na babu Njenje wote hawa wamezaliwa Pangani Tanga, na leo wametoa siri kwamba walinyonya ziwa moja.Yaani Babu Njenje alipozaliwa mama yake mazia hayakutoka hivyo akapelekwa kunyonya kwa mama yake Mabruki pia ni ndugu hawa.
>>>>>>>>>>>>>>>
Bongoweekend ni kiwa kama mdau wa Njenje na mpenzi wa muziki wa taarab na tunzo za Bi Shakila nawapongeza kwa umri huo mliofikia Inshaallah Mwenyeezi Mungu awazidishie umri muendelee kutupa rahaa.Nawaahidi wadau kwamba Jumamosi hii nitakwenda pande za Salendaer Bridge kula keki na kumwimbia Babu Njenje
.HAPPY BIRTHDAY TO YOU

Post a Comment

0 Comments