Social Icons

Monday, May 2, 2011

WATANZANIA WA UK , WASHEREHEKEA MIAKA 50 YA UHURU

Kawwelee akiwa mzigoni

Francia alisherehekea siku yake ya kuzaliwa siku hiyo akuwa na Meneja wake Shelamima.(PICHA ZOTE NA URBAN PUSLE).

Jambo Band wakitumbuiza.


Kiondo kutoka Ubalozini akiwa na familia yake.

Kushoto ni Abuu Faraj akiwa na Chriss Love.

Baadhi ya Maofisa kutoka Ubalozini wakifurahi katika hafla hiyo.

Balozi Kallaghe akiwa katika picha ya pamoja na wapiganaj wa Urban Pusle.















Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya The African Stars Entertainment Asha Baraka akisogoa na Mke wa Balozi Mrs.Kallaghe.

















Tina kushoto na Mdau Jesse Malongo wakipozi kwa picha.












Hapa wadau wakila pozi katika mnuso huo uliofanyika mwishoni mwa wiki.










Sherehe hizo zikiendelea hapa wadau na Watanzania waishio nchini Uingereza wakiserebuka.

No comments:

 
 
Blogger Templates