Mkurugenzi Masoko Segum Macaulay akimkabidhi mshindi wa promosheni ya Tusker Mathias Martin .Promosheni hiyo iliyoanza mapema mwezi huu ni ya wiki kumi na itafikia kilele Julai mwaka huu. Meneja wa Bia ya Tusker Rita Mchaki na Mkurugenzi Masoko wa Tusker Segon Macaulay wakiwa na mshindi wa Promosheni ya Tusker Mathias Martin mkazi wa Sinza Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mauzo wa Bia ya Tusker Segun Macaulay akikabidhi mfano wa hundi kwa mshindi promosheni ya bia ya Tusker, Baraka Simon ambaye amekabidhiwa leo mchana kwenye hafla iliyofanyika Katika Kiwanda Cha Serengeti kilichopo Chang'ombe Dar es Salaam . Wanaoshuhudia tukio hilo ni Meneja wa Tusker Rita Mchaki na Meneja Mauzo James Warange.
0 Comments