Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akizungumza wakati akisoma hotuba yake ya uzinduzi rasmi wa Mfuko wa kusaidia Wazee wasiojiweza wa ‘Pamoja Tushikamane’ ulio chini ya Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tushikamane Pamoja Faundation. Hafla hiyo ya uzinduzi ilifanyika jijini Dar es Salaam jana Mei 24. Picha Zote na Muhidin Sufiani-OMR .
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal (katikati) na Mwenyekiti wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tushikamane Pamoja Faundation, Rose Mwapachu (kulia) wakipiga makofi kuwashangilia watu waliojitolea kuchangia wakati wa hafla ya uzinduzi wa mfuko huo iliyofanyika kwenye Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam jana Mei 24. Picha na Muhidin Sufiani-OMR .
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akizungumza jambo na Balozi Juma Mwapachu, baada ya kuzindua rasmi mfuko wa Tushikamane Pamoja Faundation, iliyofanyika kwenye Hoteli ya New Africa jijini dare s Salaam.
Baadhi ya Watawa 'Masister' waliohudhuria hafla hiyo walioongazana na mmoja kati ya wazee wasiojiweza wanaomlea katika kituo chao Msimbazi.
Badhi ya watu waliohudhuria hafla hiyo.
Baadhi ya wageni walioalikwa kuhudhuria hafla hiyo .
Badhi ya watu waliohudhuria hafla hiyo.
Baadhi ya wageni walioalikwa kuhudhuria hafla hiyo .
Mtunza hazina wa mfuko huoakionyesha kidani cha Silver alichonunua kwa Sh. 750,000 baada ya kupigwa mnada, ambacho thamani yake halisi ilikuwa ni Sh. 150,000.
0 Comments