Askari wa Jiji nao wakiwajibika katika kufanya usafi na wanafunzi na watu kutoka katika kada mbalimbali Jijini Dar es Salaam.Zoezi hili lilifanyika siku ya Jumamosi kuanzia saa moja asubuhi hadi mchana.
Wanafunzi wakifanya usafi siku hiyo (Picha zote zimetumwa na Mdau wa Tigo)
Hapa wakipeana soksi za mikono maalum kwa kujikinga na uchafu.
Usafu ukiendelea eneo la Magomeni Hospitali.
Wanafunzi nao walikuwepo siku hiyo hapa wakifanya usafi katika eneo la Magomeni Hospitali.
NFRA SONGEA YANUNUA TANI ZAIDI YA 72,000 ZA MAHINDI MKOANI RUVUMA
-
Na Mwandishi Wetu,Ruvuma
WAKALA wa Taifa wa hifadhi ya chakula(NFRA)Kanda ya Songea mkoani
Ruvuma,imenunua tani zaidi ya 72,000 za mahindi kutoka kwa ...
5 hours ago
0 Comments