BFT WAKABIDHIWA ULINGO RASMI WA MASUMBWI


Bondia Zulfa Macho kushoto akipambana na Vumilia Kalinga wakati wa maskabidhiano ya ulingo mpya wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Zulfa Macho kulia akipambana na Vumilia Kalinga wakati wa maskabidhiano ya ulingo mpya wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Baadhi ya wadau wa mchezo wa masumbwi wakifatilia afla ya makabidhiano hayo
Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo DR. Fenela Mkangara akivishwa glove na
Mjumbe wa maendeleo ya wanawake  BFT Aisha Voniatis kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Zantel Patap Ghose wakati wa makabidhiano ya ulingo mpya wa masumbwi uliotolewa na kampuni ya Zantel Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Zantel Patap Ghose kushoto akipeana mkono na Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo DR. Fenela Mkangara baada ya kukabidhi ulingo mpya wa masumbwi kulia ni Mjumbe wa maendeleo ya wanawake  BFT Aisha Voniatis  na wa pili kushoto ni Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa nchini 'BFT' Lukelo Willilo na Katibu mkuu wa chama hicho Makore Mashaga
Bondia Fransic Cheka kushoto akipeana mkono na Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo DR. Fenela Mkangara wakati wa hafla ya makabidhiano ya ulingo mpya kutoka Zantel
Bondia Fransic Cheka akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Zantel Patap Ghose
BAADHI YA WADAU MBALIMBALI WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI WAKIWEMO MABONDIA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

Post a Comment

0 Comments