SHIRIKA LA NDEGE LA 540 LAZINDUA SAFARI ZA MTWARA

Mshiririki aliyeshinda katika mioyo ya Watanzania wengi Charls kulia naye alikuwepo Mtwara ambako ndiye aliyenogesha kwa muziki mnene hapa akishow love na muhudumu wa Ndege ya 540
Dj Charles na Mwenzake.

Hapa mara baada ya kutua Mtwara ,kutoka shoto Florence, Rajani na Khadija.





Keki maalum ya kuashiria uzinduzi wa safari kati ya Dar es Salaam Mtwara likatwa na kina dada hawa mara baada ya kufika Mtwara. Mtangazaji na Mwanahabari maarufu Godwin Gondwe akiwa sambamba na Ua la 540 kwenda Mtwara. Mkurugenzi wa Shirika la 540 Mr. Rajani wa kwanza kushoto akiwa na wadau baada ya kuwasili Mtwara.



HAPA Ndege Mpya ya 540 Mara baada ya kutua katika mkoa wa Mtwara leo ndege hii yeenye mwendo kasi inatumia dakika 45 tu kutoka Dar es Salaam hadi Mtwara.

Fly540 (Tanzania) Ltd. is an Aviation Company that has been in operation since 29th May 2008. Our head office is located on Samora Avenue opposite Tanesco and after Steers Restaurant.
We have been operating flights between Kilimanjaro and Zanzibar, Arusha and Dar es Salaam. In January 2011 we expanded our network by launching direct flights from Dar es Salaam to Mwanza. We started with 2 daily flights – one in the morning and one in the evening. The flights ware an instant success and within 3 months we increased them to 3 flights a day.
In addition to this, our sister company in Kenya operates daily flights between Nairobi and Kilimanjaro and 7 times a week between Nairobi and Dar es Salaam.
Fly540 Tanzania now intends to start flights between Dar es Salaam and Mtwara on Monday 9th May 2011.
There will be one daily flight everyday from Monday to Friday. The flight will depart Dar es Salaam at 16.30hrs and arrive Mtwara at 17.30hrs. It will then depart Mtwara at 18.00hrs and arrive back in Dar es Salaam at 19.00hrs.
In keeping with our vision to deliver value for money without compromising on safety and quality, we shall operate the 50-seater CRJ Jet aircraft on this route whose flight time will be only 1 hour. Our fares will also be very attractive starting at Tsh. 163,000 one way and Tsh. 236,000 for a round trip, all taxes included.
Our office in Mtwara is located at Laso View Hotel adjacent to Mahakama Kuu and opposite Mtwara Library.
To book your flight, please call us on 0788 540540 or 0782 540999.

Wahudumu hawa wa Shirika la Ndege la 540 wakiwa wamepozi kidogo mara baada ya kutua Mtwara leo.

Aliyekuwa mgeni rasmi Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara Shangwe Twamala akikata utepe kuashiria uzinduzi kamili wa safari kati ya Dar na Mtwara .

Aliyekuwa mgeni rasmi Twamala akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani na kusema kuanzishwa kwa safari Mkoani humo 540 imewakomboa kiuchumi na maendeleo kwa ujumla. Sehemu ya wadau waliosafiri kutoka Dar- Mtwara, hapa wakiwa Uwanja wa Ndege Mtwara .


Mgeni rasmi akikata keki.

Mgeni rasmi akikagua Ndege hiyo.

Kutoka kushoto aliyesimama anaitwa Florence,Mimi na bibie Myra Mashallah kutoka Emslies Travel .

Mimi Khadija na Florence tukiwa angani Mtwara leo ambapo tukiwa ndani ya chombo kinachokwenda kasi na kufahamika kwa jina la 540 , kilichotumia dakika 45 kufika mtwata.

Post a Comment

0 Comments