Mjumbe wa Umoja wa Wakazi wa Mtaa wa Mzimuni Magomeni, Dar es Salaam, Ramadhan Mohamed (kushoto) akimkabidhi msaada wa vyombo na sabuni Mkurugenzi wa kituo cha kulelea yatima na watoto waishio katika mazingira magumu cha Umra, Rahma Juma, kwa ajili ya watoto wa kituo hicho wapatao 65. Makabidhiano hayo yalifanyika kituoni hapo leo mchana. Katikati ni mjumbe wa umoja huo, Shaban Kiate na kulia anae shuhudia Mjumbe Hidan Ricco(Picha na Habari chanzo Sufiani mafotoblog).
WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO AWEKA JIWE LA MSINGI
UJENZI WA NYUMA ZA MADAKTARI PANGATUPU WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA
-
Muonekano wa Jengo la Nyumba za Wafanyakazi wa Hospitali ya Wilaya ya
Kaskazini B Pangatupu Lililoekewa Jiwe la Msingi na Waziri wa Maendeleo ya
Jamii Ji...
49 minutes ago
0 Comments