Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC). Kushoto ni Mwenyekiti Jakaya Kikwete na Kulia ni Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein. Jioni hii Kamati Kuu ya CCM imetaja majina mapya ya viongozi walioteuliwa kushika uongozi wa chama hicho ikiwamo ya Katibu Mkuu, ambapo ameteliwa Willson Mukama, na nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Bara ikichukuliwa na Abdulrahman Kinana, huku nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi, ikichukuliwa na Bwana mdogo Nape Nnauye. Nafasi nyingine ni Katibu wa Uchumi na Fedha:- Bi Zakhia Megji. Katibu wa Oganaizesheni:- Bi Rehema Nchimbi. (Na Freddy Maro IKULU).
Rais Samia anawajali watu wenye Mahitaji Maalum: Naibu Waziri Mwanaidi
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
Tanzania Mhe Mwanaidi Ali Khamis akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa
Nyumba ...
9 hours ago
0 Comments