Sare ya bao 1-1 na JKT Ruvu, kwenye dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam jana ni wazi imewafanya Simba wawauzie watani wao Yanga ubingwa wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara. Yanga walijisogeza karibu kabisa na ubingwa wa ligi hiyo itakayofikia tamati Jumapili hii, baada ya kuizamisha African Lyon kwa mabao 3-1, katika mechi iliyopigwa kwenye dimba la Uhuru jijini.
Rais Samia anawajali watu wenye Mahitaji Maalum: Naibu Waziri Mwanaidi
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
Tanzania Mhe Mwanaidi Ali Khamis akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa
Nyumba ...
7 hours ago
0 Comments