Rais Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi kufuatia msiba wa wanamuziki 13 wa bendi ya Five Star ambao wamefariki dunia kwenye usiku wa Machi 21 2011 katika ajali ya gari iliyotokea Mkoani Morogoro.Katika taarifa yake kwa Waziri amesema kuwa ameguswa na msiba huo mkubwa pia taifa limepoteza wasanii ambao walikuwa kioo katika jamii ya watanzania.Kadhalika amewapa pole familia za wasanii huku akiomba roho za marehemu zipumzike kwa amani mahali pema peponi.
BALOZI WA JAPAN ASIFU UTENDAJI KAZI WA TRA
-
Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa leo tarehe 03/01/2025
amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato
Tanza...
38 minutes ago
0 Comments