Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata akishindwa kujizuia kulia baada ya kuwahutubia Wanawake akiwaasa kuepukana na marumbano ya kisiasa yaliyoibuka nchini kwa madai kuwa endapo yakiendelea yatasababisha vurugu na kwamba wanawake na watoto ndio watakaoanza kuathirika. Maneno hayo aliyatoa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani mjini Geita.(Chanzo Majjid Mjengwablogspot)
WATU WATANO WAFIKISHWA MAHAKAMANI MADAI YA KUHARIBU,KUHUJUMU MIUNDOMBINU YA
RELI YA KISASA (SGR)
-
WATUHUMIWA Watano Wakiwemo Raia Wa China Wawili Wanaokabiliwa na Tuhuma
za Kuharibu Miundombinu Ya Reli Ya Kisasa (SGR) Wamepandishwa Kwa Mara
ya p...
6 hours ago
0 Comments