Social Icons

Saturday, January 29, 2011

YANGA KUBADILI MSIMAMO WAKE KWA MINZIRO ENDAPO.......

Pichani ni Kocha Fred Felix Minziro aliyechaguliwa kumsaidia Papic
Huenda uongozi wa Yanga ukavunja mkataba na kocha msaidizi wa Yanga Felix Minziro iwapo watamkubalia Kocha Papic achague kocha msaidizi anayemtaka .Habari kutoka ndani zinasema Yanga wanatarajia kukaa na Papicili arudi katika klabu hiyo baada ya Papic kuandika barua ya kuachana na timu hiyo. Papic ambaye ametoa siku mbili kwa Klabu Yanga kukaa pamoja lakini sharti la Papic ni kumpa nafasi ya kutafuta Kocha Msaidizi anayemtaka na siyo wa kuchaguliwa

No comments:

 
 
Blogger Templates