Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakirekodi matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Jumapili iliyopita nchini kote wakati Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC hayupo pichani alipokuwa makitangaza matokeo ya majimbo 34 leo kwenye kituo cha kutangaza matokeo kilichopo katika Hoteli ya Paradise City iliyopo maeneo ya Posta Jijini Dar es salaam kutoka kulia ni Ashura wa redio Tumaini, Maulid Ahmed Daily News, Khadija Uhuru na Mzalendo na Asha Bani Tanzania Daima.
UNAISHIWAJE PAWA KWA KUPANDA MLIMA LOLMALASIN ?
-
Wakati anamsifia mpenzi wake Msanii Mbosso aliimba “ _Kamusi namaliza
kurasa kukusifia”_ ,na akahitimisha kwa kusema anaishiwa pawa kwa kuwa
penzi la huyo...
1 hour ago
0 Comments