Diana Rose Matikila hapa akiwa na mtindo wake ambao ni chaguo lake leo asubuhi imenilazimu nivunje ukimwa kwa kumweleza kwamba nanivutia na Style yake hivyo na yeye akabainisha kwamba hajawahi kuweka dawa ya aina yoyote katika nywele zake pia hatarajii kufanya hivyo. Mtinmdo huu ulikuwa na majina mengi ikiwa ni pamoja na kuitwa Shapiro pia ulitamba katika miaka ya 1960 hadi 1980 kabla ya kuingia madawa ya kulainisha nywele kama Zaazuu, Relaxer Curlkit, Wave na nyinginezo .
MWENYEKITI COREFA AJIFUNGA MKANDA KUFUFUA SOKA LA UFUKWENI PWANI
-
NA VICTOR MASANGU,PWANI
Chama cha soko Mkoa wa Pwani (COREFA) katika kuunga mkono juhudi za Rais wa
awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kukuza se...
12 hours ago
0 Comments