Ras Nas na skwadi yake watafanya shoo ya kumuenzi hayati Gregory Isaacs kwenye ukumbi wa Skuret jijini Oslo Jumamosi tarehe 06 Novemba. Kwa hivyo basi kaa tayari kuserebuka na muziki mseto wa reggae na bolingo kuanzia saa nne na nusu usiku. Safu ya Ras Nas inajumuisha Chuck Frazier (Texas), Uriel Seri (Ivory Coast), Larry Skogheim (Norway), Dag Pierre (Sweden) na Dj atakuwa Dj Geblik. Habari ndio hiyo!Ukumbi: Skuret Konsertscene. Oslo, NorwayAnwani: Christian Krohgsgt. 2Tarehe: Jumamosi 06 NovembaWakati: 22.30 HrsAsanteni,Kongoi Productionswww.kongoi.com
MWENYEKITI COREFA AJIFUNGA MKANDA KUFUFUA SOKA LA UFUKWENI PWANI
-
NA VICTOR MASANGU,PWANI
Chama cha soko Mkoa wa Pwani (COREFA) katika kuunga mkono juhudi za Rais wa
awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kukuza se...
13 hours ago
0 Comments