Mobhale Holmes (Mwita) Matinyi kushoto ambaye ni mwandishi mtangazaji mkongwe pia ni mchambuzi wa masuala ya Siasa ya ndani na nje ya nchi anayeishi nchini Marekani,akiwa katika maojiano maalumu kuhusu uchaguzi wa Tanzania akiwa na Mtangazaji galacha Sunday Simba Shomary alipotembelea Kituo Cha Utangazaji cha Voice Of Amerika (VOA) , ambayo ni Idhaa ya kiswahili jijini Washington DC jana.
HUWEZI KUISHIWA PAWA UKIPANDA MLIMA LOLMALASIN
-
Wakati anamsifia mpenzi wake Msanii Mbosso aliimba “ Kamusi namaliza kurasa
kukusifia” ,na akahitimisha kwa kusema anaishiwa pawa kwa kuwa penzi la
huyo am...
43 minutes ago
0 Comments