VODACOM FOUNDATION WACHANGIA ELIMU IRINGA

Mkurugenzi wa mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom(Vodacom Foundation)Mwamvita Makamba (kushoto)akiteta jambo na Meneja wa mfuko huo Yessaya Mwakifulefule wakati walipokuwa wakikabidhi madarasa mawili yenye thamani ya shilingi Miliopni 30 katika shule ya Sekondari ya Ilula wilaya ya kilolo Mkoani Iringa.
Mkurugenzi wa mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom(Vodacom Foundation)Mwamvita Makamba akikata utepe ikiwa ni inshara ya kukabidhi madarasa hayo mawili yenye thamani ya shilingi Miliopni 30 katika shule ya Sekondari ya Ilula wilaya ya kilolo Mkoani Iringa,na wapili kutoka kushoto ni Afisa Elimu wa Sekondari wilaya ya kilolo Theresa Zenda na watatu ni Mwalim Mkuu wa shule hiyo Damas Mgimwa.
Mkurugenzi wa mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom(Vodacom Foundation)Mwamvita Makamba(kushoto)akibadilishana mawazo na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ilula wilayani kilolo mkoa wa Iringa mara baada ya kukabidhi madarasa hayo.
Haya ndiyo madarasa mawili yaliyojengwa na Vodacom Foundation kwa gharama ya shilingi Miliopni 30 katika shule ya Sekondari ya Ilula wilaya ya kilolo Mkoani Iringa mwishoni mwa wik(Picha kwa Hisani ya Blogu ya Mtaa kwa Mtaa).

Post a Comment

0 Comments