Habari za Kazi
Natumaini mtakuwa mnawajua vijana wa Mapacha Wa3 ambao ni Khalid Chuma a.k.a Chokoraa, Kalala Hamza a.k.a Kalala Junior wote kutoka bendi ya Twanga Pepeta na Joseph Mponezya a.k.a Jose Mara wa FM Academia hao vijana wanazindua album yao ya kwanza iitwayo "Jasho la Mtu" Album itazinduliwa tarehe 15 Octoba 2010 katika ukumbi wa Travertine - Magomeni kuanzia saa 3 usiku kwa kiingilio cha Tshs. 10,000/- tu. pia watasindikizwa na The African Stars (Twanga Pepeta) Full squad na Mfalme wa Taarab nchini Mzee Yusuf.
SERIKALI YATOA BILIONI 14.4 MRADI WA ENGARUKA
-
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza kwenye
mkutano wa hadhara uliofanyika leo Januari 10,2025 katika tarafa ya
Mtowambu w...
26 minutes ago
0 Comments