Hii ni gari ya Tevez ikionekana kwa nyuma ilivyovyunjwa vioo na mkewe Isha Mashauzi baada ya kukosa talaka.Tukio hili lilitokea Tandale kwa Tumbo Dar es Salaam nyumbani kwa Tevez.Tukio hili liliropotiwa na Blog hii mwishoni mwa wiki ambapo wenza hawa wanadaiana talaka.Isha anataka talaka huku Tevez akidai wafuate njia sahihi na siyo kuachana kihuni.
Dkt. William Ruto Aipongeza NSSF Tanzania Kwa Uwekezaji wa Dola zaidi ya
Milioni 51 Nairobi
-
Rais wa Kenya, Mhe. Dkt. William Ruto, ameusifu uwekezaji wa Mfuko wa Taifa
wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) wa Tanzania unaoendelea jijini Nairobi, akisema
ni m...
2 hours ago



1 Comments