Mbunifu wa mitindo na Mtangazaji wameremeta

Zamda na Ahmed.Mbunifu wa mitindo ya mavazi Zamda George jana aliiuaga ubachela kwa kufunga ndoa na Ahmed ambaye ni mfanyakazi wa TBC1.Hapa wakiwa katika picha ya pamoja na wazazi wao mara baada ya kufunga ndoa.

Post a Comment

0 Comments