Warembo wa Vodacaom Miss Tanzania 2010 wakitoka ndani ya mapango ya Amboni mkoani Tanga jana kujionea maajabu mbalimbali ya maopango hayo wakati wa ziara yao ya kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo Kanda ya Kaskazini ikiwa ni sehemu ya ziara yao ya kutembelea vivutio vya utalii Kanda ya Kaskazini na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Warembo wa Vodacaom Miss Tanzania 2010 wakipita katika mapango ya Amboni mkoani Tanga jana kujionea maajabu mbalimbali ya maopango hayo wakati wa ziara yao ya kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo Kanda ya Kaskazini ikiwa ni sehemu ya ziara yao ya kutembelea vivutio vya utalii Kanda ya Kaskazini na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010, wakisikiliza maelezo ya historia ya Mapango ya Amboni Mkoani Tanga jana wakati warembo hao walipotembelea eneo hilo ikiwa ni sehemu ya ziara yao ya kutembelea vivutio vya utalii Kanda ya Kaskazini na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Meneja wa Kinywaji cha Redds Primaim Cold, Kabula Nshimo (kulia) akimlisha keki Vodacom Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald keki ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa katika ukumbi hafla fupi iliyofanyika Maasai Club mjini Arusha.

Meneja Mauzo wa Vodacom Kanda ya Kaskazini Henry Tzamburakis (kulia) na Meneja wa Bia yaCol Redds Primim Cold, Kabula Nshimo (kulia) akimkabidhi Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald keki ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa katika ukumbi wa Maasai Club mjini Arusha jana.
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2010 wakipiga picha na watoto waliotembelea mapango ya Amboni mjini Tanga jana ikiwa ni sehemu ya ziara yao ya kutembelea vivutio vya utalii Kanda ya Kaskazini na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.

Post a Comment

0 Comments