Mwalimu wa Kidato cha kwanza na cha pili wa Shule ya Sekondari Lukuledi, Tomoko Ada Chi, Raia wa Japan, akiwa ni mmoja kati ya wananchi wa Kijiji cha Lukuledi Wilaya ya Masasi Mkoa wa Mtwara, waliojitokeza kumsikiliza mgombea Mwenza Dk. Mohamed Gharib Bilal, alipokuwa akiwahutubia wananchi hao na kuwanadi wagombea Ubunge wa Jimbo la Lulindi na Bwanausi Dismas na Mariam Kasembe wa Jimbo la Masasi leo.
WAZIRI DKT. CHANA ASHIRIKI BARAZA LA UWT LUDEWA
-
Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe Mhe.
Balozi, Dkt. Pindi Chana, Januari 11 2025 ameshiriki katika Baraza la Umoja
wa W...
1 hour ago
0 Comments