Muzamili Katunzi ajitosa Miss Tanzania

Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni MUZASHA Muzamili Katunzi, akifuatiwa na Mkurugenzi Mwendeshaji MUZASHA Erastmus Kwayu na Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency Hashim Lundenga.Hapa MUZASHA wakitangaza udhamini wao katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 wenye thamani ya shilingi mil.61 wa miaka miwili utakaojumuisha gharama za safari ya kwenda na kurudi mrembo wa mwaka huu. Pia watatumia warembo wa Miss Tanzania katika kutangaza nchi kimataifa, kutanganza utalii wa ndani.

Mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania Albert Makoye kushoto akiwa na Katibu wa Miss Tanzania Bosco Majaliwa a.k.a Mshua mara baada ya mkutano.

Post a Comment

0 Comments